Tuesday, 2 June 2026

Namwandama Bwana Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Namwandama Bwana Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Namwandama Bwana kila siku,

Yapitayo naacha nasafiri

Kwa muda kitambo,

Nimuone Yesu, kwenye utukufu.


Refrain

Siku ikifika nimuone Yesu,

Kwenye utukufu

Ulimwengu huu hautakumbukwa,

Kwenye utukufu.


2. Namwandama Bwana angali juu,

Nione utukufu sitachoka

Katika makao,

Nami niwepo, kwenye utukufu.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir Vol 28, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare 1. Ndoa ilibarikiwa na Mungu , Ilianza pale Edeni Kwani Mungu aliona, si vyema Adamu , Awe pek...