Kazi Ni Yako Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Kazi ni yako tunayoifanya,
Hakuna awezaye kuizuiya
Tumeisikia sauti yako,
Hakuna awezaye kuizuiya.
Refrain
Kwa machozi mengi shambani mwa Bwana
Watumishi wako wapanda juani
Mawimbi makali kwenye mapambano
Nyosha mkono utushike.
2. Tupe ujasiri shambani mwako,
Wapandao juani wape nguvu
Wasirudi nyuma shambani mwako,
Taji zinawangoja muda kitambo.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir Vol 28, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics