Tuesday, 2 June 2026

Nikaona Jeshi Kubwa Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Nikaona Jeshi Kubwa Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Nikaona jeshi kubwa la ajabu,

Wateule, wakikaribishwa kwa furaha,

Wameshinda, ushindi ni wake Bwana Yesu

Angaza, angaza kote uone,

Ushindi u mikononi mwake,

Anatuita leo twende tuokolewe,

Kuolewa ni wito kwako.


2. Ni mnyenyekevu tena mpole

Atakaye enda aje, awe mshindi

Matumaini yako yataonekana wazi

Nani ajuaye ya kesho ila Mwokozi

Huko Mbinguni wangoja,

Wanaomtumaini watauridhi ufalme

Utakuwepo pale,

Ufalme wenye nguvu, Umewekwa tayari.


3. Matumaini Ufalme usio na mwisho

Utakuwepo pale,

Ufalme wenye nguvu, Umewekwa tayari

Matumaini ufalme usio na mwisho

Utakuwepo pale,

Ufalme wenye nguvu, Umewekwa tayari.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir Vol 27, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare 1. Ndoa ilibarikiwa na Mungu , Ilianza pale Edeni Kwani Mungu aliona, si vyema Adamu , Awe pek...