Nipe Neno Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Nipe neno lenye uzima,
Liwe ni ngao msaada kwangu
Neno lile la Manabi,
Liwe ni nuru ya njia yangu.
Refrain
Neno la uzima Faraja kwangu
Nipe neno lenye uzima
Neno la Mitume na Manabi,
Liwe ni nuru ya njia yangu.
2. Neno hili tangu zamani,
Halitabadilika milele
Yesu yule, yule wa jana,
Ndiye wa leo, ndiye ajaaye.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir Vol 27, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics