Nimesikia Wito (Naja Kwako) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Nimesikia wito wako Bwana,
Ukiniita mdhambi nisafishwe
Kwa damu ya thamani ya Kalvari,
Iliyomwagika kwa watu wote.
Refrain
Naja kwako nisiyestahili,
Naja kwako mimi mdhambi
Naja kwako Bwana nipokee
Miguuni pako ni ngome yangu.
2. Ingawa ninajua mbele yangu,
Mapambano makali yaja kwangu
Kristo ni vyote kwangu sina hofu,
Ni jibu kwa mashaka mbele yangu.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir Vol 26, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics