Tuesday, 2 June 2026

Tukaribie Msalaba Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Tukaribie Msalaba Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


Refrain

Tukaribie msalaba, Mti uletao uzima,

Msalaba, Msalaba wa Kalvari

Damu yake inatakasa.


1. Mliosumbuka kwa miaka mingi; Damu yake inatakasa

Yesu anawaita wote; Damu yake inatasa

Mliosumbuka na kulemewa; Damu yake inatakasa

Yesu anawaita wote; Damu yake inatakasa.


Refrain

Tukaribie msalaba, Mti uletao uzima,

Msalaba, Msalaba wa Kalvari

Damu yake inatakasa.


2. Mbona mnasita kuja kwa Yesu? Damu yake inatakasa

Kwa huruma anakuita; Damu yake inatakasa

Masumbuko yako umtwishe leo; Damu yake inatakasa

Yesu anawaita wote; Damu yake inatakasa.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir Vol 26, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare 1. Ndoa ilibarikiwa na Mungu , Ilianza pale Edeni Kwani Mungu aliona, si vyema Adamu , Awe pek...