Yule Kipofu Lyrics Sung by LCMM
1. Yule kipofu alilia kwa nguvu
"(Nabii!) Bwana unirehemu"
Kilio chake kikafika kwa Yesu
Akasema, "Mleteni" akaponywa kabisa
Chorus, Part I
"Ninataka macho yangu yaone,
Mwanadaudi nirehemu"
"Ninataka macho yangu yaone,
Mwanadaudi nirehemu"
Sauti ya kipofu, Ikashangaza wengi
Sauti ya kipofu, Ikashangaza wengi
Chorus, Part II
"Takasika," Nasema "Takasika,"
Yule kipofu akaona
"Takasika," Nasema "Takasika,"
Yule kipofu akaona
Sauti ya kipofu, Ikashangaza wengi
Sauti ya kipofu, Ikashangaza wengi
2. Wakristo wengi kanisa ni vipofu,
Mwili ndoa takatifu
Sauti ya Unabi tumepuuza
Sabato takatifu, Tupe macho tuone.
Last Call Ministers Ministry.
LCMM, LCMM Vol 2, Bedi Score, Bedi Lyrics