Tunasimama Lyrics Sung by LCMM
1 Tunasimama katika nyakati,
Zilizonenwa za hatari
Hofu za vita kila mahali,
Hakuna amani tena duniani
Mafaragano kati ya mataifa,
Chuma na udongo haziwezi changanywa kamwe
Refrain
Dunia ukingoni mwisho wa safari
Linda imani hadi mwisho
Ni wakati wa kukesha kuomba
Ni wakati wa kuketi na Bwana
Ni wakati wa kuokoa nafsi
Tengeneza njia mwisho u karibu
2 Inua macho utazame juu
Wokovu wetu u mlangoni
Msilale kamwe msilale
Mkeshe muombe japo kwa kitambo (kidogo)
Matukio haya tunayoyaona,
Yanatimiza unabii wa siku za mwisho.
Last Call Ministers Ministry.
LCMM, LCMM Vol 2, Bedi Score, Bedi Lyrics