Nina Ujasiri Lyrics Sung by LCMM
1. Nina ujasiri, Mungu yu nami
Anilisha aninywesha, Mungu yu nami
Ata kama nasononeka, Sina mashaka
Mungu amenipa uhai
Refrain
Siku zote tunasifu, Mungu yu nasi
Kawa na babu zetu, Siku zote daima
Bahari walivuka, Maji akayatuliza
Jina lake ni "IMANUELI," "MUNGU YU NASI."
2. Wengi wauliza, "Mungu yu wapi?
Siku zote tumwabudu, Mungu katuacha?"
Mayatima na wajane, Wote wauliza,
"Mbona haya twayapitia?"
Last Call Ministers Ministry.
LCMM, LCMM Vol 1, Bedi Score, Bedi Lyrics