Friday, 24 April 2026

Tazama Waisraeli Lyrics Sung by LCMM

Tazama Waisraeli Lyrics Sung by LCMM


Pre-Chorus

Tazama Waisraeli

Wakitoka nchi ya Misiri

Walinyweshwa na kulishwa na Mungu

Pale jangwani Mungu kawalinda


Wakashinda Wamalekai

Na kupita kati ya mito

Wakakingwa dhidi ya giza

Na wakakingwa toka kwa jua


Chorus

Tunakusifu, (Bwana)

Tunakuimbia,

Wewe ni Mungu sisi wana wako


Bridge I

Lead Voice: Akaacha utukufu wake

SATB: Ili akue nasi


Lead Voice: Akafanywa mwili kama binadamu

SATB: Ili atuokoe


Bridge II

Wakamshika na wakamtesa,

Huyu Yesu tunayejivunia

Ili atuokoe,

Ni upendo wa namna gani?


Chorus

Tunakusifu, (Bwana)

Tunakuimbia,

Wewe ni Mungu sisi wana wako.


Last Call Ministers Ministry.


LCMM, LCMM Vol 1, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...