Friday, 24 April 2026

Moyoni Nasikia/Nimejifunza Kuheshimu Lyrics Sung by LCMM

Moyoni Nasikia/Nimejifunza Kuheshimu Lyrics Sung by LCMM


1. Moyoni nasikia sauti yaita,

Lakini ninaelewa ni sauti ya Bwana

Nitaiacha dunia na kumfuata Yesu,

Nimeona kisima cha uzima


Refrain

Nimejifunza kuheshimu sauti yako

Popote utaponiita nitanyenyekea

Kiu yangu moyoni ni kumfuata Yesu

Nimeona kisima cha uzima


2. Wewe ukiniita nitakusikia

Ata katika huzuni utanifariji

Kiu yangu moyoni ni kukuona Yesu

Nimeona kisima cha uzima.


Last Call Ministers Ministry.


LCMM, LCMM Vol 1, Bedi Score, Bedi Lyrics

Nikitazama Dunia (Ukimwi) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Nikitazama Dunia ( Ukimwi ) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir 1. Nikitazama dunia, Inaombolezayo waya waya Magonjwa yenye kutisha, Yanavyowa...