Nikitazama Dunia (Ukimwi) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Nikitazama dunia,
Inaombolezayo waya waya
Magonjwa yenye kutisha,
Yanavyowamaliza watu.
Refrain
Nyumba nyingi zimeachwa kimya,
Watoto walilia wazazi
Jihadharini na Ukimwi,
Uwe mwaminifu daima.
2. Wasomi wenye elimu,
Matajiri na watu mashuhuri
Wengi sasa wamelala,
Ukimwi sasa umewaliza.
3. Ukimwi hauna tiba,
Hauna rushwa, unateketeza
Jihadhari ndugu yangu,
Uwe mwaminifu kwa Bwana.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir Assorted, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics