Nimekombolewa Kwa Damu Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Nimekombolewa kwa damu, Y thamani
Kutoka utumwa wa ddhambi
Hatia ya dhambi Yesu kabeba
Hukumu akabadilisha
Refrain
Ni mimi; Ni mimi, Mwenye dhambi, (Wa kwanza)
Ni wewe; Ni wewe, Mwenye dhambi
Aliyeangikwa kwa ajili yangu,
Na kwa ajili yako tuokolewe
Akudhamini u-ukuu wake
Ni kwa ajili yangu, Na kwa ajili yako
2. Akaacha enzi yake juu tukufu
Na kuvikwa utu wa dhambi
Na akabebeshwa hukumu yetu
Na yote akasastahimili.
Notes
Refrain Line: Akudhamini u-ukuu wake; His priesthood.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 30, Bedi Score, Bedi Lyrics