Nimetambua Maisha Ya Hapa (Najua Nina Hakika) Lyrics sung by Springs Of Hope

Nimetambua Maisha Ya Hapa (Najua Nina Hakika) Lyrics sung by Springs Of Hope


1. Nimetambua maisha ya hapa ni ya furaha

Yana tumaini na yatadumu kwenye taabu

ingawa ionekane yaishia kaburini

Ukamilifu wake nitapewa siku ya mwisho


Refrain

Najua nina hakika kwa maneno ya Bwana

Nitaamka kuishi milele

Na pale penye radhi moyo i'tatulia

Asubuhi ya furaha nitakwenda nyumbani


2. Mungu yu mwema niwe namna gani nimwamini tu

Ananilinda sina wasiwasi nisafiripo

Japo maisha yawe ni ya shida nimtegemee

Ameahidi atanipa hali ya umilele


3. Nisipoteze wakati wa sasa nisichelewe

Nimtamzame Mkombozi Yesu aniongoze

Anifikishe kwenye utukufu kule nyumbani

Nami nibarikiwe nipumzike na wateule.


Springs Of Hope, Kenya.


Springs Of Hope Kenya, For Revision, Bedi Score, Bedi Lyrics

Comments

Popular posts from this blog

Tanzania Nakupenda Lyrics Sung by Acacia Singers, Tanzania

Muumbaji Mfalme Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Bwana wa mabwana Lyrics sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA