Ni Mchunga (Yesu Ni Mchungaji Wangu) Lyrics sung by The Golden Gate Choir
Ni Mchunga (Yesu Ni Mchungaji Wangu) Lyrics sung by The Golden Gate Choir
Prelude: Ni mchunga wangu---hu...niongoza...
1. Yesu ni mchunga wangu siogopi kitu,
Huniongoza
Hunionyesha kijito cha maji mazuri
Huongoza na roho yangu
Refrain
Hunipumuzisha kando ya kijito
Hunisaidia ndipo nipate nguvu
2. Mimi nikishambuliwa na adui zangu,
Yesu hufika
Hunipaka kichwa changu mafuta mazuri
Hukijaza kikombe changu
3. Hilo gongo lako pamoja na fimbo yako,
Hunifarijii
Huandaa meza mbele ya adui zangu
Roho yangu hupumuzika.
Outro: Ni mchunga wangu--hu...niongoza...
The Golden Gate Choir.
The Golden Gate Choir, Mukalu Kaggwa Isaac, Bedi Score, Bedi Lyrics
Texts | Psalms 23/Zaburi 23
Comments