Ndugu Kati Yako (Tutaimba Haleluya) Hebu Piga Simu Lyrics sung by The Golden Gate Choir
Ndugu Kati Yako (Tutaimba Haleluya) Hebu Piga Simu Lyrics sung by The Golden Gate Choir
1. Ndugu kati yako wewe naye Mungu
Una simu ya anga ni nzuri muno
Inayotuunganisha naye Mungu
Piga simu kwake Mungu
Refrain
Kweli... Tutaimba Haleluhya mbinguni kwetu
Bila hofu la kifo wala ugonjwa
Mungu atakuwa pamoja nasi
Ebu piga simu kwake
2. Mungu Baba kule anasubiri
Simu za wateule wake wote
Wanaokubali makosa yao,
Waomba kuwasamehe
3. Piga simu kwake wakati wote
Piga asubuhi hata usiku
Ukiwa mugonjwa au muzima
Piga simu kwake Mungu.
The Golden Gate Choir.
The Golden Gate Choir, Mukalu Kaggwa Isaac, Bedi Score, Bedi Lyrics
Isaiah 65:24 And it shall come to pass, that before they call, I will answer; and while they are yet speaking, I will hear.
Isaya 65:24 Kabla hawajaita nitajibu, nao wakiwa katika kunena nitasikia.
Comments