Katika Damu Ya Mwanakondoo Lyrics sung by Nyandema SDA Choir
Katika Damu Ya Mwanakondoo Lyrics sung by Nyandema SDA Choir
1. Katika damu ya mwanakondoo, Nimeoshwa! Nimeoshwa!
Zimeondolewa dhambi zangu, Dhambi zote! Dhambi zote!
Refrain 1
Mimi nilikuwa mwovu kweli, Niliposhindwa na dhambi zangu
Sasa damu ni ya Mwanakondoo, Nimeoshwa! Nimeoshwa! (Zangu)
2. Mashaka yangu yametolewa, Nimeoshwa! Nimeoshwa!
Hofu ya kufa sinayo leo, Ni salama! Ni salama!
Refrain 2
Ingawa sijafahamu yote, Lakini Yesu Mwokozi wangu
Na leno lake nagetemea, Ni salama! Ni salama! (Wangu)
2. Wengi wakinidharau sana, Sitarudi! Sitarudi!
Nitawaambia watu wote, Wokovu huu! Wokovu huu!
Refrain 3
Aniongoze Mwokozi Yesu, Wengi wajue ni wake Bwana
Nitawambia watu wote, Wokovu huu! Wokovu huu! (Bwana)
Nyandema SDA Choir.
1Jo 1:7 But if we walk in the light, as he is in the light, we have fellowship one with another, and the blood of Jesus Christ his Son cleanseth us from all sin
Comments
Post a Comment