Mungu Aliwaita Malaika/Huruma Ya Yesu Ya Ajabu sung The by Golden Gate Choir
Mungu Aliwaita Malaika - Huruma Ya Yesu Ya Ajabu sung The by Golden Gate Choir
1. Mungu aliwaita malaika waje kwa mkutano
Kaulizwe "nani ataenda kuwaokoa watu?"
Refrain
Huruma ya Yesu ya ajabu ilimtoa mbinguni
Kajitoa afe tuokoke tuwe hai milele
2. Yesu alipotoka juu mbinguni kupigana na dhambi
Shetani alidhani atashindwa na kurudi mbinguni
3. Alijaribiwa mara tatu kwa chakula uwezo
Kwa kushuka toka juu ya nyumba lakini hakushindwa
4. Jitahidi uwe na imani katika Mungu Baba,
Yesu na roho mtakatifu utafika mbinguni.
The Golden Gate Choir.
Comments
Post a Comment