Nakaza Mwendo Bwana Uniongoze Lyrics sung by Nyandema SDA Choir
Nakaza Mwendo Bwana Uniongoze Lyrics sung by Nyandema SDA Choir
1. Nakaza mwendo mbinguni, Kila siku napanda juu;
Naomba nikisafiri, "Bwana uniongoze - juu"
Refrain
Bwana uniinue juu Kwa imani hata mbinguni
Juu kuliko dunia; Bwana uniongoze - juu
2. Nataka kupanda juu, Nisishindwe na adui;
Kwa imani nasikia Sauti ya washindaji
3. Kupanda juu nataka Niuone utukufu;
Hata mwisho nitaomba, "Bwana uniongoze - juu."
Outro
Bwana uniongoze kwa imani hata mbingu.
Nyandema SDA Choir.
Bible Text
Psalms 31:3 For thou art my rock and my fortress; therefore for thy name's
sake lead me, and guide me.
Comments
Post a Comment