Pale Mlimani/Wakampiga Wakamtesa Mwokozi Lyrics sung by Nyandema SDA Choir
Pale Mlimani/Wakampiga Wakamtesa Mwokozi Lyrics sung by Nyandema SDA Choir
1. Pale mlimani msiituni
Yesu aomba kwa ajili yetu
'Eh Baba yangu niondolee kikombe
hiki si kwa mapenzi yangu'
Refrain
Wakampiga wakamtesa
Mwokozi wetu kwa ajili yetu
Yesu akasema; 'Eh Baba yangu uwasamehe makosa yao'
2. Walipofika fuvu la kichwa
wakayagawa mavazi yake
Yesu akasema; 'Eh Baba yangu uwasamehe makosa yao'
3. Wakamtesa Mwokozi wetu/wangu
msalabani akatunikwa
Kichwani mwake wakamvisha taji ya miiba Mwokozi wangu.
Nyandema SDA Choir.
Spiritual Texts
It would be well for us to spend a thoughtful hour each day in contemplation of the life of Christ.
We should take it point by point, and let the imagination grasp each scene,especially the closing ones. DA 83.4
Comments
Post a Comment