Siku Sita Fanya Kazi #Sabato Lyrics sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA
Siku Sita Fanya Kazi #Sabato Lyrics sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA
1. Siku sita fanya kazi
Sabato ya Bwana ii karibu
Na ya saba uheshimu sabato takatifu
Refrain
Sabato ni siku gani? [Ooh-ooh]
Ni siku ya kupumzika
Twendeni sote kwa Bwana
Yeye pekee atosha
Tumshukuru Mungu kwa kuwa yeye ni mwema siku zote
Alitupa uwezo kushinda majaribu yake shetani
Sabato takatifu tulioaliandaliwa
2. Enyi ndugu zangu mjiepusha
Na anasa za dunia hii
Hayana faida tutafute taa ya uzima wa milele
Cherubim Singers, Nairobi South SDA.
Comments
Post a Comment