Tulia Sikiza/El Shaddai Lyrics sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA
Tulia Sikiza/El Shaddai Lyrics sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA
1. Tulia sikiza kwa makini
Tunaye Mungu muumba wa vyote
Hakuna miungu mwingine twapasayo kuabudu
Japo wengine wanaoamini anasa
Twambieni yote ni ubatili
Japo wengine wanaoamini waganga
Twambieni hakuna jibu kwao
Refrain
Jehova Nissi Mungu wa Israeli, El Shaddai
Aitwaye Emanueli Simba wa Yuda
Ni nani kama Mungu wetu
Ajibuaye maombi yetu
Tumsujudu tumsifu Mungu
Maana yeye ni Mungu
2. Dunia na vyote vilivyomo
Kazi ni yake Mungu muumbaji
Tazama alivyotuumba kwa mfano wake Mungu
Japo wengine wanateseka kwa magonjwa
Twambieni Yesu ni mponaji
Japo wengine wanaomboleza mauti
Cherubim Singers, Nairobi South SDA.
Comments
Post a Comment