Ni Usiku Mtulivu Lyrics sung by The Gospel Train

Ni Usiku Mtulivu Lyrics sung by The Gospel Train


1. Ni usiku mtulivu

Bwana akaomba na wanafunzi (Haleluya)

Yakobo, Petro na Yohana

Sasa wamelala usingizi


Pre Chorus

Alibeba msalaba begani mwake

Msalaba ni mzito

Kwa ajili ya dhambi zetu (Dhambi zetu)

Taji la miiba alivalishwa kichwani mwake

Aliteswa msalabani

Kwa ajili ya dhambi zetu (Dhambi zetu)


Chorus

Alikufa kwa ajili yetu

Damu yake ilimwagika

Alilia msalabani

Mimi na wewe tuokolewe


2. Ni upendo wa jinsi gani

Aliokuwa nao Bwana Yesu (Haleluya)

Kaacha enzi yake

Aje afe kifo cha dosari


The Gospel Train, Kenya.

Comments

Popular posts from this blog

Tanzania Nakupenda Lyrics Sung by Acacia Singers, Tanzania

Muumbaji Mfalme Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Bwana wa mabwana Lyrics sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA