Siku Ambayo Yesu Alifufuka Lyrics sung by The Gospel Train
1.Siku ambayo Yesu alifufuka Shida ilitokea
Kote ulimwengu katetemeka Kwa kumuona Yesu.
Refrain
[Sikia-Aaah!]
Wote walitetemeka wakajawa na hofu nyingi [nyingi]
Viongozi wote na makuhani kamwamini Yesu
2.Malaika shuka toka mbinguni *akatoa jiwe
Askari ambao walimchunga wote wakaanguka chini
3. Mitume walipofika kaburi Ilikuwa tupu [Haleluya]
Mavazi ambayo walimvika Yamewekwa kando.
4. Sasa Yesu aita wana watubu, "Njooni nyote kwangu"
Ni sauti ambayo inavutia Inayosikika.
The Gospel Train, Kenya.
*akatoa = ?*wakatoa