Bwana Wangu Yesu Aliteseka Lyrics sung by The Gospel Train

Bwana Wangu Yesu Aliteseka Lyrics sung by The Gospel Train

1. Bwana wangu Yesu aliteseka
Msalabani kwa ajili yangu
Ili anikomboe kwa dhambi zangu
Moyo wangu unaburudika (Kweli)

Refrain
Nina furaha moyoni mwangu
Nitakusifu maishani yangu yote (ewe Bwana)
Ulikomboa kwa damu yako
Ili niwe mwana wako kamili (Baba)

2. Mungu wa Ibrahimu,Mungu wa Isaka
Nakumbuka maajabu uliyotenda
Katika maisha yangu miujiza uliyotenda
Inadhihirisha ukuu wako kwangu (Bwana)

3. Sasa imebakia kuona uso wako
Kwa kuja kwako mara ya pili
Unitayarishe kwa siku hiyo
Ili niwe kati ya wa'o waendao (Bwana).

The Gospel Train, Kenya.

Comments

Popular posts from this blog

Tanzania Nakupenda Lyrics Sung by Acacia Singers, Tanzania

Muumbaji Mfalme Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Bwana wa mabwana Lyrics sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA