Ondoka Uangaze Lyrics sung by Acacia Singers

Ondoka Uangaze Lyrics sung by Acacia Singers


1. Ondoka uangaze kwa kuwa nuru ya Bwana imekuja

Na utukufu wa Bwana umekuzukia 

Ondoka peleke neno utangaze kwa wote 


Refrain

Wajulishe habari kwamba yu mlangoni

Anarejea upesi Mwokozi

Wajulishe wote kwamba yuko karibu


2. Amka harakishe usisubiri kwani muda waisha

Mavuno ni tayari wavuni wachache

Ondoka peleke neno utangaze kwa wote.


Acacia Singers, Tz.

Comments

Popular posts from this blog

Tanzania Nakupenda Lyrics Sung by Acacia Singers, Tanzania

Muumbaji Mfalme Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Bwana wa mabwana Lyrics sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA