Sina Hofu Wala Mashaka Lyrics sung by Acacia Singers
Sina Hofu Wala Mashaka Lyrics sung by Acacia Singers
1. Sina hofu wala mashaka
Kwani Yesu yu ndani yangu
Aongoza hatua zangu
Popote nitembeapo
Refrain
Nakaza mwendo Nasonga mbele
Japo njia ni ndefu
Dhiki taabu Nayo mateso
Kwa imani mimi nitafika
2. Japo njia ina mabonde
Yote hayo mi' sitahofu
Ninajua niko salama
Mwendo nitaumaliza.
Acacia Singers, Tz.
Comments
Post a Comment