Tawala Ndani Yangu Lyrics sung by Acacia Singers
Tawala Ndani Yangu Lyrics sung by Acacia Singers
Verse 1
Tawala ndani yangu Muumbaji Mfalme
Unilinde na dhoruba zinazonizunguka
Kama mawimbi ya bahari yavumayo kwa nguvu
Ndivyo shetani na jeshi lake anavyonitafuta
Ndivyo shetani na jeshi lake anavyonitafuta
Verse 2
Ukae ndani yangu wakati ni mfupi
Popote nitembeapo uniongoze Yesu
Ata mwisho wa safari hii nikuone karibu
Uliyetoa uhai wako kwa wote wenye dhambi
Uliyetoa uhai wako kwa wote wenye dhambi
Verse 3
Tazameni ramani bandari ii karibu
Wala usichoke ndugu Mwokozi angojea
Tutapofika Yerusalemu tutamuona Yesu
Ndipo atafuta kila chozi huzuni zitakwisha
Ndipo atafuta kila chozi huzuni zitakwisha
Outro
Utawale ndani yangu, utawale, tawala ndani
Utawale ndani yangu, utawale, Bwana wangu tawala(*4)
Acacia Singers, Tz.
Comments
Post a Comment