Zamani Nilikuwa Lyrics sung by The Gospel Train

Zamani Nilikuwa Lyrics sung by The Gospel Train

1. Zamani nilikuwa mdhambi mpotevu
Nilizama dhambini bila matumaini
Nilikuwa katikati ya misitu mwenzangu
Shetani alinitega na mitego yake

Refrain
Asante Yesu kwa pendo lako
Ulonionyesha pale msalabani
Ulinitafuta mimi mdhambi
Kwa kifo chako Bwana nimekuwa huru

2. Mara ngapi umejikuta katika shimo la dhambi
Je wakumbuka pendo lake Yesu Bwana wa upendo
Alitufia kasulubiwa sote tupate wokovu
Nitaimba pendo lake na nitamuinua

The Gospel Train.

Comments

Popular posts from this blog

Tanzania Nakupenda Lyrics Sung by Acacia Singers, Tanzania

Muumbaji Mfalme Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Bwana wa mabwana Lyrics sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA