Anza Vyote Na Bwana Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Anza Vyote Na Bwana Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Tembea na Bwana, Furahi na Bwana ushindi
Mchana kutwa shikamana naye
Usimwache Bwana rafiki mwema
Bila Yesu ni bure, ni bure,
Ni bure, ni bure utaanguka
Anza vyote na Bwana ushindi daima
Anza vyote na Bwana ushindi daima
Refrain
Anza mambo yako alfajiri
Ushindi wako mkononi mwa Bwana
Tegemea ushindi
Kabla anga halija chafuka,
Mpe Yesu nafasi
(Oh) Mpe Yesu nafasi
Amani kwa Bwana, Faraja kwa Bwana
Ulinzi wa Bwana uko juu yako
Usikatishwe tamaa simama imara
Anza vyote na Bwana ushindi juu yako
Anza vyote na Bwana ushindi juu yako.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Ukuta Wa Jeriko Album, Bedi Score, Bedi Lyrics
Comments