Jaribu Kufuata Lyrics sung by Grace and Glory Singers
Jaribu Kufuata Lyrics sung by Grace and Glory Singers
1. Jaribu kufuata nyayo za Yesu
Jaribu kuandama Bwana mfalme
Kwa mfano wake atubadilisha
Raha furaha nyimbo twaimba
Refrain
Yapendeza tembea katika nyayo zake (Nuru)
Nuru kuongoza Nuru kuongoza
Yapendeza tembea katika nyayo zake
Twamfuata Yesu
2. Twamkaribia zaidi Mwokozi
Twajaribiwapo twate-? njia
Twategemea mkono wa hodari
Atutetea furaha twaimba
3. Jaribu kufuata nyayo za Yesu
Siku hadi siku twapanda juu
Hadi tumuone kwa uzuri wake
Raha furaha tukiwa naye.
Grace and Glory Singers.
Comments