Kama Ilivyo Kwenye Safari Lyrics sung by Saro's Family
Kama Ilivyo Kwenye Safari Lyrics sung by Saro's Family
Eh-le lele-lele-lele-lele le-le-leh
Kuna shida na matatizo
Kuna vikwazo dhoruba kali
Na majaribu mbalimbali
Safari yetu kwenda mbinguni
Mambo mengi huvunja moyo
Wasafiri hukataa tamaa
Refrain 1
Farao yuaja nyuma yetu (Nyuma yetu)
Bahari ya Shamu mbele yetu
Kunayo milima kandokando yetu
Bwana fungua njia (Farao)
Eh-le lele-lele-lele-lele le-eh
2. Kama ilivyo kule vitani
Jemedari yu mbele yetu
Mara jangwani, mara msalaba
Mwisho kaburi li wazi
Nasi nyumaye twasonga mbele
Twazifuata nyayo zake tu
Tusichoke mwisho tutashinda
Refrain 2
Farao yuaja nyuma yetu (Nyuma yetu)
Bahari ya Shamu mbele yetu
Japo kuna shida na majaribu mengi
Njia atafungua. (Farao)
Saro's Family.
Saro’s Family, Bedi Score, Bedi Lyrics
Comments