Mwisho Wa Safari Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Mwisho wa safari twaona nchi nzuri
Ng'ambo ya bahari makao ya washindi
Chorus
Hujawahi ona mazuri ya mji ule
Maziwa na asali (asali) raha ya mji ule
Usichoke ndugu pambana hadi mwisho
Mwisho wa safari twaona nchi nzuri
2. Mwisho wa safari sauti zasikika
Kurasini SDA Choir.
Comments