Nataka Zaidi (Nataka Kumwona Yesu) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Nataka, Nataka, Nataka, Nataka zaidi
Nataka zaidi, Zaidi na zaidi
Refrain
Katika Yesu (Yesu) vipofu wanaona tena
Katika Yesu (Yesu) viwete wanashangilia
Katika Yesu majibu yapatikana
2. Nataka tena Na tena,
Nataka tena Na tena,
Na tena kukaa na Yesu, Zaidiii
Outro
Nataka, Nataka, Nataka,
Nataka Zaidiii
Nataka kumjua Yesu.
Kurasini SDA Choir.
Comments