Tengeneza Nyumba Yako Lyrics sung by Grace and Glory Singers
Tengeneza Nyumba Yako Lyrics sung by Grace and Glory Singers
1. '(Tengeneza wewe) Tengeneza nyumba yako,
Weka mambo sawa sawa Na ugawe mali yako
(Hakika) Hakika wewe hutaishi tena,
Kwa kweli ugonjwa wako utakumaliza’
Hezekia mfalme uliye mkuu,
'Umebaki na siku chache pekee'
Refrain
(Ombi/+langu Bwana) Ombi langu Bwana nisamehewe
Najua nafaa kwa sababu ya dhambi zangu
Rehema zako bado zadumu kwangu
Kumbuka jinsi nimekufanyia kazi
(Eh Bwana) Bwana wangu naomba nafasi nyingine
2. (Japo) Japo twakaribia kuanguka,
Mungu wetu kweli ni mwaminifu
Tukiomba msamaha kwake (kwake),
Atatupa nafasi nyingine.
Grace and Glory Singers.
Comments