Wataka Kujua (Yesu Akanigusa) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Wataka Kujua (Yesu Akanigusa) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Wataka kujua habari zangu (habari zangu)
Nilikuwa kipofu sasa naona
Sijui ni kwa vipi ninalojua
(Eeh) Nilikuwa kipofu sasa naona
Refrain
Yesu akanigusa nikaona (Haleluya)
Ninaona (nami) amenigusa (na-we we-we)
Nilikuwa kipofu ninaona (Haleluya)
Ninaona (nami) amenigusa
2. Nilipaza sauti nipate ona (nipate ona)
Baada ya kusikia Yesu apita
Bwana unirehemu akasikia
(Aah) Nilikuwa kipofu sasa naona.
Kurasini SDA Choir.
Comments