Bwana Asema Hivi Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Bwana asema hivi sikilizeni,
Nyumba yangu kuna vita (Mnafarakana)
Mnafarakana na kutawanyika,
Nyumba yangu imejaa machafuko
Refrain
Hata lini mtatulia nikae kati yenu?
Tafakarini matendo yenu
Vita si vya damu na nyama
Ibada zenu ni bure
Tafakarini matendo yenu
Kaeni ndani yangu nami ndani yenu
2. Bwana hapendezwi na kelele zenu,
Katika hekalu lake (Hekaluni mwake)
Dunia inyamaze tukiwa huru,
Nyumba yangu imejaa machafuko.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 32, Bedi Score, Bedi Lyrics