Sisi Tumejitolea Lyrics Sung by LCMM
Verse I
Sisi tumejitolea, Kama watumishi wake
Karne hii ambapo, Mungu anazidi kushusha
Ni jambo kweli lashangaza, Hakuna yule aliye safi
Mungu anaweza yote, Kutufanya sisi safi
Mungu anaweza yote, Kutufanya sisi safi
Chorus
Kuishi ni Yesu (Ni Yesu),
Kufa ni faida
Vyote tulivyonavyo,
Kweli ni ubatili (Ubatili)
Verse II
Stefano kajitolea, Kuhubiri neno la Mungu
Wakati ambapo, Wayahudi walimkana Yesu
Ni jambo kweli lashangaza, Sauli kabeba nguo zake
Umati ukampiga mawe, Akafa shujaa wa imani
Umati ukampiga mawe, Akafa shujaa wa Imani.
Last Call Ministers Ministry.
LCMM, LCMM Vol 1, Bedi Score, Bedi Lyrics