Friday, 24 April 2026

Lini Bwana Utakaporudi Lyrics Sung by LCMM

Lini Bwana Utakaporudi Lyrics Sung by LCMM


1. Lini Bwana utakaporudi kutuchukua? (Dunia)

Dunia inatutisha maasi yanaongezeka

Twakusubiri njoo utuchukue

Twakusubiri njoo utuchukue


Refrain

Kila siku twafedheheshwa na dunia hii

Wengi wamekata tamaa kukusubiri

Nyosha mkono wako utuokoe

Nyosha mkono wako utuokoe


2. Machafuko mengi ya dunia yametusonga (Vilio)

Vilio kila mahali tutapata wapi amani?

Twakulilia wewe, Utuokoe

Twakulilia, Njoo utuokoe.


2. (Variant)

Machafuko mengi ya dunia yametusonga (Vilio)

Vilio kila mahali tutapata wapi amani?

Twakulilia wewe (Njoo we) utuokoe

Twakulilia, Njoo we utuokoe.



Last Call Ministers Ministry.


LCMM, LCMM Vol 1, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...