Friday, 24 April 2026

Nakushukuru Bwana Lyrics Sung by LCMM

Nakushukuru Bwana Lyrics Sung by LCMM


Verse I

Nakushukuru Bwana,

Kwa kunifanya mwana wako (Hakika)

Usingekuwa upande wangu,

Sijui ningekuwa vipi?

Usingekuwa upande wangu,

Sijui ningekuwa vipi?


Bridge

Nilikuwa nimezama mavumbini

Wala sikumtambua Muumba wangu

Kwa upendo kaniondoa dhambini

Na sasa nimewekwa huru


Verse II

Njoo kwake Yesu akuweke huru

Upate raha milele

Achana na raha za dunia

Mpendwa njoo nami tumsifu


Outro

Tafuta daima utakatifu, (Fanya)

Fanya urafiki na Yesu Mwokozi wako

Twatazamia kufika juu mbinguni,

Siku ya mwisho twende naye

Twatazamia kufika juu mbinguni,

Siku ya mwisho twende naye

Twatazamia kufika juu mbinguni,

Siku ya mwisho twende naye.


Last Call Ministers Ministry.


LCMM, LCMM Vol 1, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...