Onyo Hili Lyrics Sung by LCMM
1. Onyo hili lako ewe Mungu, Lanikera nafsi yangu
Ole wangu nitendaye dhambi, Palipo na giza
Moyoni mwangu ninawaza kwamba
Nani aonaye? Nani ajuaye jambo ninalolitenda?
Nani aonaye? Nani ajuaye jambo ninalolitenda?
Refrain
Bwana wangu wewe wanijua,
Giza kwangu kwako mwangaza
Nikufiche nini ewe Bwana?
Kwako vyote wazi
-? Nibadilishe, niepushe na yale maovu
-? Nibadilishe, niepushe na yale maovu
2. Niufiche wapi uso wangu
Pale zote sawa wako
Milimani, bondeni, gizani,
Chini ya bahari
Hakuna usiloweza kuona
Bwana nipe nguvu (Bwana)
Bwana nipe nguvu (Bwana)
Mimi mwenye dhambi, Sina wema wakutosha
Last Call Ministers Ministry.
For Revision
LCMM, LCMM Vol 1, Bedi Score, Bedi Lyrics