Dunia Inayumba Yumba Lyrics sung by Nyandema SDA Choir
Dunia Inayumba Yumba Lyrics sung by Nyandema SDA Choir
1. Dunia inayumba yumba
Zaonyesha dalili za mwisho
Lakini watu hawajali
Wamefumba macho na kuyafunga masikio
Refrain
Lakini binadamu amekataa kabisa
kusikia wito wa Mwokozi Yesu
Amefumba macho na kuyafunga masikio
[Tunaitwa]
Tujeni kwa Yesu leo
atutakase kwa damu yake
iliyotiririka msalabani
Tupate uzima wa milele.
[Tunaitwa]
Tuvipofu! Tuvipofu! Tuvipofu! Tuvipofu!
2. Ni kweli Yesu anarudi
wenye macho ya kiroho
Tayari wameshatambua
Wengine tu vipofu hivyo hatuoni lolote.
Nyandema SDA Choir.
Re 22:12 And, behold, I come quickly; and my reward is with me, to give every man according as his work shall be.
Re 22:17 And the Spirit and the bride say, Come. And let him that heareth say, Come. And let him that is athirst come. And whosoever will, let him take the water of life freely.
Comments
Post a Comment