Sunday, 6 October 2024

Mikononi Mwa Mungu (Furaha Kweli) Lyrics sung The Golden Gate Choir

Mikononi Mwa Mungu (Furaha Kweli) Lyrics sung The Golden Gate Choir


1. Mikononi mwa Mungu nimo huketi 

Nimo kupumzikia uchovu wote 

Mikononi mwa Mungu ni patulivu 

Mikononi mwa mungu raha tu


Chorus

Kote furaha, Amani tele 

Furaha kweli, Mikononi mwa Mungu


2. Mikononi mwa Mungu nimo huketi 

Nimo hupata maisha yangu ya kweli 

Mikononi mwa Mungu hupumzika

Mikononi mwa Mungu amani


3. Mikononi mwa Mungu nimo huketi 

Nimo hupata amani yangu ya kweli

Mikononi mwa Mungu ni raha tupu 

Mikononi mwa Mungu amani.


The Golden Gate Choir.


The Golden Gate Choir, Mukalu Kaggwa Isaac, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...