Monday, 14 October 2024

Siku Ambayo Yesu Alikamatwa Lyrics sung The Golden Gate Choir

Siku Ambayo Yesu Alikamatwa Lyrics sung The Golden Gate Choir


1. Siku ambayo Yesu alikamatwa

Makuhani walikutana nyumbani

"Wakampotesha uli-kuangika

Msalabani kule Gologotha"*


Chorus

Kwa nini waniacha hapa msalabani

Wewe ndiwe Mungu tena Baba yangu

Nimekubali kufa niwaokoe

Wenye dhambi wote wafike mbinguni


3. Juda Iskarioti msaliti

Aliwapa kielelezo kwamba

Atamukumumbatia amubusu

Ndipo watamtambue Yesu mwokozi


4. Yesu alikamatwa na makuhani

Akapigwa sana katemewa mate

Akavikwa hata taji ya miba

Wakamuangika juu ya musalaba


The Golden Gate Choir.


The Golden Gate Choir, Mukalu Kaggwa Isaac, Bedi Score, Bedi Lyrics


"Wakampotesha uli-kuangika, Msalabani kule Gologotha"* Not very clear. Could precisely be said as "they organised for his (Jesus) crucifixion on the cross.

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...