Tuesday, 15 October 2024

Yesu Alituahidi (Tutamwona Yesu Akirejea) Lyrics sung by The Golden Gate Choir

Yesu Alituahidi (Tutamwona Yesu Akirejea) Lyrics sung by The Golden Gate Choir


1. Yesu alituahidi alipoenda mbinguni

Kwamba atarudi tena tuende mbinguni

Kwenye makao 'ma yametutayarishia 

Ndipo tutaishi milele na Mwokozi


Chorus

Tutamuona Yesu akirejea

Kutuchukua kwake kule mbinguni 

Ndipo tumuimwimbie kwa shangwe

Nyimbo zenye upendo

Tukimsifu mwokozi kwa heshima 


2. Alitupa roho wa'ke kakae ndani yetu

Iliatufundishe mambo ya mbinguni

Kwenye maisha mema ambayo ni ya milele

Ndipo tutamsifu Yesu Mkombozi


3. Jitahidi ufike mbinguni kwake Mungu

Ambao kuna maziwa na asali ya nyuki

Hakuna kifo tena wala maumivu

Huko ndiko tutamsifu Mkombozi, Yesu.


The Golden Gate Choir.


The Golden Gate Choir, Mukalu Kaggwa Isaac, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...