Nikitafakari Ya Dunia/Songeni Mbele Lyrics sung by The Gospel Train
Nikitafakari Ya Dunia Lyrics sung by The Gospel Train
1. Nikitafakari ya dunia
Natamani kwenda mbinguni
Ya dunia yote yanapita yote
Na mambo yake nayo yanapita
Natamani kumuona Bwana Yesu jinsi alivyo
Jinsi alivyo nimwone Mwokozi
Refrain
Songeni mbele wakristo wa imani
Tukabidhi dunia ya dhambi
Hivi karibu tutavuka ng'ambo ya dunia hii
Tumwone Yesu Mwokozi
2. Mara nyingi twajaribu kutenda mema
Lakini twajikuta tu wapungufu
Shetani ajaribu kutega mitego
Lakini tusihofu sisi washindi
Mwokozi ametuwekea taji sisi washindi,
Sisi washindi wa mbinguni tayari
The Gospel Train, Kenya.
Comments
Post a Comment