Friday, 1 November 2024

Niwaambie Lyrics sung by The Gospel Train

Niwaambie Lyrics sung by The Gospel Train

Prelude

Niwaambie, Niwaambie [Waambie]

Niwaambie, Niwaambie [Wambieni]

Waambie, mambo yake Mungu

Huku ametenda maajabu kweli [kwetu]

Bwana asifiwe, Haleluya


Miti milima mito bahari

Ndege wanyama wanatangaza


Refrain

Mungu huyo; Mungu wake Hanna

Ni Mungu wake Yakobo

Mungu wa Isaka, Ahimidiwe!


Ametangaza utukufu wake 

Ameonyesha kwa maumbile


Verse

Ametenda maajabu kweli

Alimtendea Sara Kampa Isaka kwa uzee

Kafufua Lazaro toka kaburini

Majini Petero katembea Kwa uwezo wake


Mungu huyo apewe sifa ainuliwe

Asujududiwe ni Mungu wa miungu.


Maarifa yake yamewatatiza

Wanasayansi hata watafiti.


The Gospel Train, Kenya.


Ps 69:34 Let the heaven and earth praise him, the seas, and every thing that moveth therein.

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...