Sunday, 10 November 2024

Tukitafakari Mji Huo Lyrics sung by The Gospel Train

Tukitafakari Mji Huo Lyrics sung by The Gospel Train


1. Tukitafakari mji huo ulowekewa washindi

Bwana ataashiria kila mmoja

Akisema kwamba mmefanya vyema

Tutaingia mji huo kwa shangwe tele

Tutaingia mji huo kwa karamu kubwa


Refrain

Asante, Asante Yesu (Haleluya)

Asante kwa ukombozi

Itakuwa furaha,

Furaha ya ajabu (Siku hiyo/Haleluya)

Amani ya mji hiyo yatatawala

Itakuwa ni furaha kwa mji huo


2. Kutakuwa na swali moja kuu

Tukiulizana sote 'ako wapi wa fulani

muhubiri hodari?'

Stephano atashangaa kuona Paulo na Sila

Nasi tutaulizana, 'ilikuwa vipi?'


Amani ya mji hiyo yatatawala

Itakuwa ni furaha kwa mji huo


The Gospel Train, Kenya.

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...