Friday, 24 April 2026

Katika Kivuli Chako Lyrics Sung by LCMM

Katika Kivuli Chako Lyrics Sung by LCMM


1. Katika kivuli chako, Nitakaa nipumzike

Miguuni pako Bwana, Nitakaa milele


Refrain

Mimi sitaogopa, Kwani wewe u nami

Nipitapo bondeni, Uvuli wa mauti,

Siogopi mabaya, Sihofu yu nami


2. Sitapungukiwa kamwe, Uniuhisha nafsi

Katika safari yangu, Na wewe salama.


Last Call Ministers Ministry.


LCMM, LCMM Vol 1, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...