Thursday, 23 April 2026

Siku Ya Kuja/Amka Lyrics sung by Ulanda Girls SDA Group

Siku Ya Kuja/Amka Lyrics sung by Ulanda Girls SDA Group


1 Siku ya kuja kwake mkombozi

Yakaribia sana (sana sana)

Mwokozi Yesu ndiye anasema, “Msilale tena” (Mbona)


Refrain

“Mbona mwalala nyinyi wapendwa?” Yesu anawaita

Amkeni msilale tena yeye yu mlangoni (Amka! Amka!)

Amkeni msilale tena yeye yu mlangoni (Mbona)


2 Huko mbinguni ni furaha tele

Mahangaiko hakuna (Oh hakuna)

Tutaimba wimbo wa mwanakondoo na kuishi milele (Mbona).


Ulanda Girls SDA Group.


Ulanda Girls SDA Group, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...